Katibu Caren Angego ameanza kuhudumu katika idara mpya iliobuniwa ya huduma za watoto

  • | KBC Video
    8 views

    Katibu Caren Angego, ameanza kuhudumu katika idara mpya iliobuniwa ya huduma za watoto, huku akiahidi kuimarisha ulinzi wa watoto na ustawi wa watoto wanaoishi Kwenye mazingira magumu. Kwingineko, mwanzilishi wa shirika la Ushiriki Wema Tessie Mudavadi , alitaka kubuniwa kwa maktaba hasa katika mitaa ya mabanda na maeneo ya mashambani, ili kuwawezesha watoto kupata maarifa yatakayowasaidia katika siku za usoni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News