'Tuna taarifa ya Makamu, Katibu Mkuu na baadhi ya makamanda wapo polisi'

  • | BBC Swahili
    25,428 views
    Chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA kimelaani kukamatwa na kujeruhiwa kwa wanachama wake Pamoja na viongozi. Akiongea na waandishi wa Habari mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya pwani Boniface Jacob anasema hadi sasa wana majeruhi kumi na nne na kifo cha mtu mmoja. Polisi wahajatoa taarifa yoyote juu ya tuhuma hizo. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw