Timothy Kiplagat na Eliud Kipchoge wawakilisha Kenya London Marathon

  • | NTV Video
    39 views

    Timothy Kiplagat aliyemaliza wa pili katika mbio za Tokyo Marathon mwaka Jana miongoni mwa wanariadha wenye Kasi zaidi watakaoshiriki London Marathon Jumapili. Mwanaspoti wetu Steve Keter alikutana na Nyota huyo na kuandaa TAARIFA Ifuatayo.

    Aliyekuwa mshikilizi wa rekodi ya dunia ya Marathon Eliud Kipchoge atakimbia katika makala ya mwaka huu ya London Marathon siku ya Jumapili. Kipchoge Mwenye umri wa miaka 40 ni bingwa mara 4 wa London Marathon na ni bingwa mara mbili ya michezo ya Olimpiki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya