Fainali ya mchujo ya Voliboli ya wachezaji walemavu kufanyika Nyayo

  • | NTV Video
    8 views

    Fainali ya Mchujo wa voliboli ya wachezaji walemavu wa kuteua timu ambayo itashiriki mashindano ya bara Afrika hapa Kenya Mwezi Julai itafanyika hapo kesho katika ukumbi wa uwanja wa taifa wa Nyayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya