Kayole Starlets sherehekea kupandishwa Ligi Kuu na FKF

  • | NTV Video
    16 views

    Rais wa shirikisho la kandanda humu nchini FKF Hussein Mohammed na seneta Mteule Tabitha Mutinda waliiandalia Kayole Starlets dhifa ya chajio na kusherehekea pamoja kupandishwa kwao katika ligi kuu wanawake. Kayole sasa wanaazimia kushinda taji msimu ujao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya