Fainali ya Vipaji vya NYS Yafanyika Mathare

  • | NTV Video
    12 views

    Idara ya huduma ya vijana kwa taifa NYS iliandaa mashindano ya kutambua vipaji katika nyanja mbalimbali ikiwemo ya wanamitindo. Katibu wa wizara ya michezo katika kitengo cha vijana Fikirini Jacobs alihudhuria fainali katika taasisi ya wahandisi iliyoko mtaani Mathare hapa jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya