Zifahamu alama tano zisiso za kawaida katika jeneza la Papa Francis

  • | BBC Swahili
    18,036 views
    Maziko ya Papa Francis yanafanyika Vatican Jumamosi, Aprili 26. Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki watashiriki ibada katika Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican. Jeneza lake liliwekwa kanisani tangu Jumatano wiki hii, kufuatia taratibu za awali zilizofuatia kifo cha Papa Francis Jumatatu asubuhi. Hizi ni alama tano zisiso za kawaida katika jeneza la Papa Francis Usikose kufuatilia matangazo ya moja kwa moja ya maziko hayo kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, ikiwa pamoja na youtube, Facebook na Tiktok kuanzia majira ya saa tao leo. 🎥: Frank Mavura - #bbcswahili #vatikani #papafrancis Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw