- 76,775 viewsMnamo Juni 25, 2024, damu ilimwagika katika Bunge la Kenya. Siku hiyo, maelfu ya waandamanaji walielekea bungeni ili kusitisha muswada wa fedha #FinanceBill2024 kupitishwa kuwa sheria. Njiani walikutana na mabomu ya machozi, virungu, na hata milio ya risasi. Walipofika huko, na kulivamia bunge, baadhi ya milio ya risasi hiyo ikageuka kuwa hatari zaidi Takriban watu watatu waliuawa: mwanafunzi, muuza duka, na mwalimu. Tangu wakati huo, hakuna mtu aliyeshikiliwa kuwajibika kwa vifo vyao. Sasa, #BBCAfricaEye inawafichua walisababisha damu kumwagika nje ya viwanja vya Bunge Kenya. #bbcswahili #financebill #financebill202 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Walioua vijana bungeni Kenya wafichuliwa
- 29 Apr 2025 - Nairobi County Women’s League side Halisi Soccer Queens received a significant boost in their pursuit of an impressive season after their affiliation fees of Sh10,000 were paid by Health Aid Assistance International (HAAI). Halisi have started their…
- 29 Apr 2025 - Mai Mahiu flood victims wait for Ruto's promise, 12 months later
- 29 Apr 2025 - Africa must unite to escape exploitation by the West and East
- 29 Apr 2025 - Diver recalls 12 days of gruelling rescue, recovery mission after ferry disaster
- 29 Apr 2025 - Five killed, scores injured as police, land protestors clash in Trans Mara
- 29 Apr 2025 - Ruto's SGR, road projects with China hailed by Western leaders
- 29 Apr 2025 - How Kenya blocked viewing of BBC's film of police shooting protesters
- 29 Apr 2025 - Mutua's overseas jobs: Senators told how applicants lost millions
- 29 Apr 2025 - Lawmakers' work is to legislate, oversight and represent, period!
- 29 Apr 2025 - Mass livestock vaccination stalls over funding crisis