🔴LIVE | TV47 MATUKIO | UHAMASISHAJI WA UGONJWA WA MALARIA

  • | TV 47
    3 views

    Malaria ni ugonjwa unaotishia maisha ya binadamu.

    Mara nyingi husambazwa kwa kunyonywa damu na mbu.

    Unaweza kuzuilika na kutibika kwa utambuzi na matibabu ya mapema.

    Dalili za mapema mara nyingi hujumuisha mafua, maumivu ya kichwa, na baridi.

    Ugonjwa wa Malaria bado ni tatizo kubwa nchini Kenya.

    Mabadiliko ya hali ya hewa huchangia katika maambukizi.

    Visa vingi vya Malaria huripotiwa msimu wa mvua.

    Mwaka 2023, takriban visa milioni 5.5 viliripotiwa nchini.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __