Mradi wa Nyumba Buxton Mombasa

  • | Citizen TV
    1,236 views

    Baadhi ya wapangaji katika mradi wa ujenzi wa nyumba katika mtaa wa Buxton kaunti ya Mombasa wanaitaka serikali kuu, serikali ya kaunti ya Mombasa na mwekezaji kutimiza ahadi ya wapangaji 184 kupata makazi katika mradi huo. Wakiongea nje ya makazi hayo wanadai kufurushwa na licha ya Rais William Ruto na kamati ya Bunge kuhusu ujenzi kutoa mwelekeo wamesalia kutaabika.