Michuano ya AFCON U20

  • | Citizen TV
    447 views

    Mchuano wa mataifa bingwa Afrika kwa vijana chini ya miaka 20 umeanza rasmi usiku wa Jumapili nchini Misri. Timu ya Kenya rising stars itafungua kampeni yake siku ya Alhamisi dhidi ya Morocco.