Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa Mei 6

  • | BBC Swahili
    13,241 views
    Mawakili wa kiongozi wa Chadema Tundu Lissu wameshinda kutwa nzima mahakamani kujaribu kuiomba mahakama kusikiliza kesi dhidi yake ndani ya mahakama na wala sio mtandaoni. Nje ya mahakama polisi wamepiga doria kuzuia watu kuingia mahakamani, nao viongozi wa CHADEMA wakizuiliwa nyumbani. JE, kuna ni? Peter Mwangangi anaangazia kwa kina taarifa hii na mengine mengi mubashara saa 3 usiku katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw