KUPPET imesema walimu hukosa mbinu nyingine za kuendesha shule

  • | Citizen TV
    74 views

    Shule kote nchini zimefunguliwa kwa muhula wa pili huku walimu wakilalamikia serikali kuchelewesha mgao wa pesa za shule