Taarifa ya BBC imeonyesha jinsi polisi walivyohusika katika mauaji ya vijana

  • | Citizen TV
    286 views

    Mashirika ya kutetea haki za binadamu sasa yanataka maafisa wa usalama wanaosemekana kuhusika na mauaji ya watu watatu wakati wa maandamano ya vijana katika majengo ya bunge mnamo Juni mwaka jana wakamatwe