Wanabodaboda wasema misaada imetwaliwa na watu binafsi

  • | Citizen TV
    72 views

    Kwa mujibu wa muungano wa wanabodaboda wa Kajiado, msaada huo umeishia mikononi mwa watu wachache badala ya kufaidi sekta nzima ya bodaboda.