Watu 10 kujeruhiwa wakiwemo maafisa wa GSU

  • | Citizen TV
    4,837 views

    Watu watano walipigwa risasi na kuuawa na maafisa wa usalama kwenye zogo lililozuka eneo la Ang'ata Barikoi kaunti ya Narok kufuatia mzozo wa shamba.