Serikali yachunguza mafundisho potovu ya dini Rongom

  • | Citizen TV
    279 views

    Mratibu wa usalama katika ukanda wa Nyanza Flora Mworoa ameeleza kuwa msako mkali utafanywa dhidi ya makanisa yanayoeneza mafundisho potovu ya kidini