Kampuni ya maji ya Mutitu yatakiwa kusambaza maji maeneo kame

  • | Citizen TV
    33 views

    Ili kuzisaidia jamii zinazoishi sehemu kame kujisitiri dhidi ya makali ya kiangazi, serikali kuu na zile za kaunti zimetakiwa kufanikisha miradi itakayozisaidia jamii kuhifadhi maji safi