Serikali ya kaunti yawasilisha vifaa vya kazi kwa vijana

  • | Citizen TV
    140 views

    Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani ameongoza shughli za ugavi wa vifaa vya kazi kwa wanafunzi 42 waliohitimu kwenye mafunzo tofauti tofauti kutoka vyuo mbalimbali vya kiufundi ndani ya Kaunti hiyo