Wanyamapori hao wanavamia mashamba na kutafuna mimea

  • | Citizen TV
    574 views

    Wakulima katika maeneo ya Ndii na Manga viungani mwa mji wa Voi kaunti ya Taita Taveta wanaendelea kukadiria hasara baada ya punda milia ambao wameishi na jamii kwa zaidi ya miaka miwili kugeuka kero kubwa