Wakazi wachanga pesa kusaidia wanafunzi maskini

  • | Citizen TV
    196 views

    Huku shule zikifungua milango yake kwa muhula wa pili kwanzia wiki hii wanafunzi 133 kutoka kijiji cha ilkiloriti Kilichoko Kajiado ya kati wamepata afueni baada ya jamii ya eneo hilo kuchanga shilingi laki nane kugharamia karo ya wanafunzi hao