Seneta Kavindu alalamikia kubomolewa kwa makazi

  • | Citizen TV
    143 views

    Seneta wa Machakos Agnes Kavindu amemtaka Rais William Ruto kuagiza kusitishwa kwa ubomoaji wa nyumba na makazi ambao umekuwa ukiendelea Mavoko na Athiriver kaunti ya Machakos