Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja azuru eneo hilo

  • | Citizen TV
    13,387 views

    Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja anaongoza mkutano wa amani katika eneo la Ang'ata Barikoi kaunti ya Narok ambako watu watano waliuawa na wengine kujeruhiwa hapo jana kutokana na mzozo wa ardhi