Je ni kweli msalaba uligeuzwa kwenye mazishi ya Papa Francis?

  • | BBC Swahili
    3,509 views
    Kumekuwa na mkanganyiko na nadharia nyingi mtandaoni kuhusu mazishi ya papa Francis. @frankmavura anadadavua mbivu na mbichi kuhusu mazishi ya Papa Francis. #bbcswahili #papafrancis #italia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw