3 Nov 2025 10:56 am | Citizen TV 315 views Duration: 48s Viongozi kutoka kaunti ya Garissa wamewahimiza vijana ambao wamefikisha umri wa kupata vitambulisho kuvichukua na kujisajili kuwa wapiga kura .