3 Nov 2025 11:01 am | Citizen TV 23,606 views Duration: 44s Rais mteule wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ataapishwa leo jijini Dodoma, huku taifa hilo likiwa katika hali ya taharuki ya machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na utata.