Skip to main content
Skip to main content

Visa vya watu katika utapeli wa SHA waliojidai kufanya kazi na SHA

  • | Citizen TV
    792 views
    Duration: 2:50
    Visa zaidi vya ulaghai wa watu waliojidai kuwa maafisa wa bima ya Afya ya SHA vimeendelea kuripotiwa huku watu wawili zaidi katika eneo la Subukia kaunti ya Nakuru wakisimulia masaibu yao. Lucy Gikonyo na Ezekiel Mwangi wakiwa wa punde kuripoti kupoteza maelfu kwa kuahidiwa kwa usajili wa bima ya SHA.