Skip to main content
Skip to main content

Watu 4,500 wapoteza makazi kufuatia kuongezeka kwa maji kwenye Ziwa Naivasha

  • | KBC Video
    306 views
    Duration: 1:50
    Idadi ya watu waliopoteza makazi kufuatia ongezeko la maji kwenye Ziwa Naivasha imefikia 4,000 huku kukiwa na wasiwasi kwamba idadi hiyo huenda ikaongezeka kutokana na mvua inayoendelea kunyesha. Tangu mwanzo wa mwaka huu, viwango vya maji katika Ziwa Naivasha vimekuwa vikiongezeka na hali imekuwa mbaya zaidi katika muda wa miezi mitatu iliyopita. Maji hayo yamefurika kwenye nyumba za makazi, vyoo, shule, makanisa na hata kituo kimoja cha polisi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive