5 Nov 2025 10:40 am | Citizen TV 257 views Duration: 1:46 Kuchelewa kwa kesi nyingi za watoto katika mahakama ya Hola kaunti ya Tana River kumechangiwa pakubwa na mashahidi kukosa kujitokeza kutoa ushahidi wao .