- 308 viewsDuration: 3:21Wakazi wa Kaunti ya Samburu, wamelalamikia kukwama Kwa ujenzi wa ofisi za ardhi eneo hilo Kwa zaidi ya miaka minne,Hali ambayo imezidi kuwaponza wakilazimika kusafiri mwendo mrefu Hadi mji wa Nyahururu katika kaunti jirani ya Laikipia kusaka huduma hizo.