- 759 viewsDuration: 4:58Idadi ya waliofariki huko Chesongoch kutokana na maporomoko ya ardhi katika kaunti ya Elgeyo Marakwet imeongezeka na kufikia watu 36 baada ya miili zaidi kupatikana leo asubuhi. Kundi la waokoaji likiongozwa na shirika la msalaba mwekundu limesema watu 17 bado haijulikani waliko. Baadhi ya viongozi wakiongozwa na askofu mkuu wa kanisa Katoliki dayosisi ya Eldoret Dominic Kimengich waliishinikiza serikali kuchukua hatua za haraka na kutafuta suluhu ya kudumu kwa kuwahamisha wakazi ambao bado wanaishi kwenye bonde la Kerio ili kuzuia kutokea tena kwa janga kama hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive