Viongozi wa sekta ya biashara sasa wanaweza kufurahia ushirikiano wa kimkakati unaoweza kutoa mwongozo mpya kwa sekta mbalimbali, kufuatia kuzinduliwa kwa programu mpya ya kimtandao humu nchini. Jukwaa hilo la kimataifa la mtandao wa biashara lililozinduliwa jijini Nairobi linatoa fursa kwa wakuu wa mashirika kushiriki katika mawasiliano yaliyopangwa kwa uangalifu, baina yao na wenzao, yakitegemea mfumo unaotambulika kimataifa unaolenga kukuza uaminifu, ubunifu na ushirikiano madhubuti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive