- 1,855 viewsDuration: 2:32Walimu chini ya muungano wa KUPPET eneo la magharibi wametishia kusitisha usimamizi wa mtihani wa KCSE, wakilaumu maafisa wa DCI kwa kuchelewa kuchunguza kifo cha mwalimu mwenzao eneobunge la Lugari. Mwalimu huyu mkuu wa shule ya Munyuki PAG, Simon Isiaho, alipatikana ameuawa na mwili wake kutupwa mtoni siku sita baada ya kutoweka kwa njia tata