Skip to main content
Skip to main content

Mwalimu mkuu aliyekuwa amepotea apatikana mtoni ameaga dunia

  • | Citizen TV
    10,466 views
    Duration: 2:48
    Walimu chini ya muungano wa KUPPET eneo la Magharibi wametishia kusitisha usimamizi wa mtihani wa KCSE, wakilaumu maafisa wa DCI kwa kuchelewa kuchunguza kifo cha mwalimu mwenzao eneo bunge la Lugari. Mwalimu huyu mkuu wa shule ya Munyuki PAG, Simon Isiaho, alipatikana ameuawa na mwili wake kutupwa mtoni siku sita baada ya kutoweka kwa njia tata.