- 30,155 viewsDuration: 2:53Aliyekuwa Rais wa Botswana Ian Khama ameshutumu kuapishwa kwa Rais wa Tanzania Suluhu Hassan akisema kuwa hatambui kuchaguliwa kwake kwani amejilazimisha kusalia uongozini kwa kuwakandamiza raia wa Tanzania katika uchaguzi ulioshuhudia vifo vya mamia ya watanzania. Khama alikuwa akizungumza katika chuo kikuu cha Lukenya huko Makueni. Huku hayo yakijiri kesi dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu haikuendelea leo mahakamani Tanzania.