Skip to main content
Skip to main content

Yapi matarajio ya bunge la 13 nchini Tanzania? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    38,853 views
    Duration: 28:10
    Wabunge wa Bunge la Tanzania leo wamemaliza rasmi viapo vyao, hatua inayowafanya kuwa wabunge kamili na kuhitimisha kipindi cha kuwa wateule. Zoezi hilo lilianza jana na kukamilika leo katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma. Baadhi ya wadau hata hivyo wanadai Bunge hili la 13 linaweza kukosa upinzani imara kutokana na idadi kubwa ya wabunge kutoka chama tawala CCM. Tumezungumza na baadhi ya wabunge walioapishwa kuhusu matarajio yao. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw