Wabunge wa mrengo wa Kenya Kwanza wametoa onyo kwa viongozi kutoka eneo la Mlima Kenya dhidi ya kujihusisha na siasa za migawanyiko, wakisema wakati umefika kwa viongozi kuangazia matokeo yanayoonekana kwa wananchi badala ya kujipiga kifua.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya