Skip to main content
Skip to main content

Wawakilishi wadi wa Nairobi wamtaka Sakaja kutimiza ahadi zake kulingana na makubaliano waliyoweka

  • | NTV Video
    12 views
    Duration: 1:25
    Wawakilishi kadhaa wa wadi wa hapa Nairobi wanamtaka gavana wao Johnson Sakaja kutimiza ahadi zake kulingana na makubaliano waliyoweka na wawakilishi wadi pamoja na hayati Raila Odinga na seikali kuu ya kutimiza ahadi hizi chini ya siku 60 . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya