Skip to main content
Skip to main content

Makali ndani ya upinzani huku Malala na Natembeya wakirushiana lawama

  • | Citizen TV
    7,030 views
    Duration: 2:52
    Mgongano umeibuka ndani ya muungano wa upinzani huku naibu kiongozi wa chama cha DCP Cleophas Malala na gavana wa Natembeya wa chama cha DAP-K wakirushiana maneno kwenye kampeni za uchaguzi. Malala anadai kuwa natembeya anatumiwa na Kenya Kwanza kuvuruga upinzani huku natembeya naye akidai malala ndiye anayehongwa na serikali kuvuruga upinzani