- 2,459 viewsDuration: 1:25Rais William Ruto ametetea sera za serikali yake na hatua zilizopigwa katika sekta ya afya, kupunguza gharama ya maisha na kukabiliana na tatizo la makazi nchini kupitia mpango wake wa nyumba za bei nafuu. Rais Ruto pia amewakashifu wapinzani wake kwa kuendeleza kile alichosema ni siasa za migawanyiko. Ruto amezungumza alipokamilisha ziara yake ya siku 4 katika eneo la ukambani ambapo alikutana na viongozi mbalimbali wa eneo hilo.