- 2,107 viewsDuration: 2:36Wakazi wa kijiji cha Kiunga kaunti ya Lamu wanahofia usalama wao kufuatia misururu ya visa vya utekaji nyara. Wakazi hao ambao walifanya maandamano kulalamikia hali hiyo wanasema kuwa watu waliojifunika nyuso huwavamia na kutoweka na jamaa zao. Wakazi hao wanaitaka idara ya usalama kuwajibika na watu waliotoweka kurejeshwa nyumbani