- 3,201 viewsDuration: 13:02Familia za vijana waliosafirishwa hadi nchini urusi kinyume na sheria sasa zinaililia serikali kuwarudisha nchini. Familia hizo zinasema kuwa jamaa zao wanahangaika huku baadhi wakiuwawa na wengine kujeruhiwa kwenye vita vya Urusi na Ukraine.