Skip to main content
Skip to main content

Ami na wenzake wakamatwa kwa ubakaji na mauaji ya msichana Garissa

  • | Citizen TV
    11,729 views
    Duration: 2:55
    Watu wa wanne wamekamatwa akiwemo mshukiwa mkuu kuhusiana na ubakaji na mauaji ya msichana wa miaka 16 safiya abdi bilal huko Garissa. Inadaiwa mshukiwa huyo Hussein Bilal ni ami ya marehemu na alitekeleza unyama huo alipokuwa amepewa jukumu la kuwachunga watoto wa kakake nyumbani. Na kama anavyoarifu Feisal Abdirahman washukiwa hao tayari wamefikishwa mahakamani huko Dadaab.