Skip to main content
Skip to main content

Polisi wanasaka majibu baada ya mhudumu wa bidhaa mtandaoni kuuawa Nairobi

  • | Citizen TV
    12,744 views
    Duration: 2:59
    Polisi wanachunguza kisa ambapo mhudumu mmoja anayefanya kazi ya kuwasilisha bidhaa zilizonunuliwa mtandaoni alipatikana ameuwawa kikatili mtaani South B, hapa Nairobi. Mwili wa Anthony Otieno ulipatikana chini ya kitanda katika jengo moja mtaani humo, ukiwa na damu nyingi na umefungwa miguu na mikono