Skip to main content
Skip to main content

Watu 31 waangamizwa na maporomoko ya ardhi wazikwa Chesongoch, serikali yaahidi msaada

  • | Citizen TV
    1,136 views
    Duration: 3:01
    Hatimaye watu 31 waliofariki kwenye maporomoko ya ardhi katika eneo la Chesongoch, Kaunti ya Elgeyo Marakwet wamezikwa. Misa ya wafu ilifanyika katika uwanja wa mtakatifu Mauras Chesongoch na baadaye mazishi kufanywa kwenye kipande kimoja cha ardhi. Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema kuwa serikali inasaidia familia zilizoathirika kurejelea maisha yao