21 Nov 2025 8:12 pm | Citizen TV 207 views Duration: 57s Timu ya taifa ya soka kwa vijana walio na chini ya miaka kumi na saba, Junior Stars, imeandikisha ushindi wake wa kwanza kwenye mchuano wa CECAFA kuwania kufuzu kwa AFCON.