Kifo cha mvulana mwenye umri wa miaka 16 baada ya kupashwa tohara katika eneo bunge la Limuru kaunti ya Kiambu kimeibua maswali chungu nzima huku familia yake ikitaka majibu. Familia ya marehemu Victor Kimani iliyojawa na huzuni, ilisema wanaume waliojukumiwa kuelekeza na kufuatilia hatua yake ya kupona, wamekwenda mafichoni huku polisi wakianzisha uchunguzi kubaini chanzo cha kifo hicho.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive