Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya rufaa yadhibitisha ada ya karo kupitia e-citizen si halali, serikali yapata pigo jipya

  • | Citizen TV
    897 views
    Duration: 1:52
    Serikali imepata pigo lingine baada ya mahakama ya rufaa kudinda kusitisha uamuzi wa mahakama ya juu iliyotangaza malipo ya karo ya shule kupitia jukwaa la e-citizen kuwa kinyume cha sheria. Katika uamuzi wa mahakama ya rufaa hii leo, ada ya shilingi hamsini inayotozwa kupitia jukwaa hilo pia si halali.