Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Serikali inakadiria kiwango cha hasara kutokana na kudukuliwa kwa mitandao ya serikali

  • | KBC Video
    50 views
    Duration: 2:52
    Serikali inakadiria kiwango cha hasara kilichotokea wiki hii kutokana na kudukuliwa kwa baadhi ya mitandao ya serikali. Katibu wa utangazaji na mawasiliano Stephen Isaboke amesema habari za utangulizi zinaonyesha kwamba wahalifu walikuwa wamepanga kudukua tovuti zote za serikali, lakini mwingilio wa halmashauri ya mawasiliano hapa nchini ulitibua juhudi zao. Taarifa kwa kina ni katika mseto wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive