Maegesho matatu mapya ya ndege katika Uwanja Kimataifa wa Ndege wa wa Guangzhou Baiyun yameanza kufanya kazi rasmi, kukiwa pia na kituo kipya cha usafiri kinachounganisha uchukuzi wa angani, barabara na reli kwa urahisi. Mradi huu mkubwa unalenga kuboresha ufanisi wa usafiri kati ya Guangdong-Hong Kong-Macao Greater Bay, na kufanya safari kuwa za haraka na kubuni mazingira mwafaka kwa abiria.Maelezo zaidi katika Makala ya ifahamu China.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive